WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amemuagiza mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 kuhakikisha unakamilika kabla ya wakati ili ...
SERIKALI imesema kuwa haitamfumbia macho atakayechezea sekta ya mkonge kwa namna yoyote kwani sekta hiyo mtambuka ni ...
Mkutano wa 29 wa nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29) umeendelea kuiletea ...
DAR ES SALAAM:Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuiunga mkono sekta ya madini lengo likiwa ni ...
SERIKALI kupitia Wizara ya Fedha imefanya kongamano la kodi kikanda kwa kuwakutanisha wadau kutoka sekta binafsi wakijumuisha ...
WAENDESHA mashtaka nchini Marekani wamesema mwanamuziki wa Rap Sean Diddy Combs amevunja sheria za gereza kwa kuwasiliana na ...
CHINA : KAMPUNI ya Novo Nordisk imezindua dawa ya kupunguza uzito ya Wegovy nchini China baada ya kuidhinishwa na mamlaka ya ...
Katika kijiji cha Isakalilo, kata ya Kalenga, wilayani Iringa, Patrick Ngasapa, mwenye umri wa miaka 59, anasimulia ...
DAKTARI Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Dk Pedro Pallangyo amesema inashauriwa mtu kula chakula ...
MJUMBE wa EU , Wopke Hoekstra amesema Umoja wa Ulaya utafadhili nchi masikini kukabiliana na ongezeko la joto duniani ...
VIONGOZI wa nchi zilizoendelea Kiuchumi Duniani (G20), wametoa wito wa kusitishwa mapigano katika Ukanda wa Gaza na nchini ...
WANAHARAKATI mashuhuri 45 kati 47 wamehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kukutwa na hatia ya kufanya kosa la uasi ...